Kuona Mwezi Muandamo na Hesabu za Falaki
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kifiqh
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Serikali ya Pakistan imempiga marufuku Waziri Mkuu aliyeng’atuliwa mamlakani, Imran Khan, kufanya mkutano mkubwa, uliopangwa kufanyika jijini Islamabad na kuwasaka wafuasi wake katika uvamizi kote nchini, ikiwakamata mamia.
Demokrasia huru ya udanganyifu ya Pakistan, kwa hakika, inaifanya Pakistan kuwa mtumwa wa maslahi ya Marekani kupitia mistari mekundu.
Utawala wa Marekani umekuwa ukipatanisha kimya kimya kati ya Saudi Arabia, 'Israel' na Misri juu ya majadiliano ambayo, endapo yatafanikiwa, inaweza kuwa hatua ya kwanza kwenye barabara ya kusawazisha mahusiano kati ya Saudi Arabia na 'Israel'.
Nilipewa kazi (mwakilishi wa mauzo) kwa kampuni inayouza bidhaa za vipodozi na manukato; baadhi ya vitu vina asilimia tofauti tofauti ya pombe (cologne, ambayo ina viwango vya juu vya pombe ya ethyl, na bidhaa zilizo na ethyl, methyl, na pombe ya isopropyl, kama vile manukato na vipodozi).
Kupanda kwa bei karibuni ya nishati ya mafuta nchini Tanzania kumeleta ziada ya hali ngumu na mbaya ya kiuchumi ikisukuma mfumko wa bei kwa kiwango cha 3.8 (ndani ya Aprili 2022) katika kila bidhaa ikiwemo kupanda kwa nauli za dala dala na katika majiji,
Mnamo siku ya Ijumaa, 11 Mei 2012, Naveed Butt alitekwa nyara na maafisa wa kijasusi wa dola ya Pakistan, alipokuwa akiwachukua watoto wake wadogo shuleni.
Kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, Afisi Kuu ya Habari, kupitia ukurasa huu, itachapisha mabango kumi ya kuuamsha Umma wa Kiislamu na watu wenye nguvu na ulinzi ndani yake ili wafanye kazi pamoja nayo kusimamisha Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume.
Jumapili asubuhi, Mei 22, 2022, Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia iliandaa kisimamo cha kukataa miradi ya kisiasa ya kisekula ambayo inaupinga Uislamu waziwazi na hukmu zake inayofungamana na maadui wa Waislamu kutoka katika ukoloni wa Magharibi na mfano wake.