Jibu la Swali: Tofauti ya Rai za Kifiqhi Kwa Mfano Kuthubutu Kuanza kwa Kufunga Ramadhan
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kifiqh
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Sheikh wetu mkubwa, nina swali juu ya rai za kifiqhi za maimamu wanne na mujtahidi wengine ambao wanatofautiana na sisi kuhusu rai za kifiqhi zilizo tabanniwa katika Hizb, na ambazo zinaingia katika ile inayoitwa fiqhi ya ikhtilaf



