Jumapili, 23 Safar 1447 | 2025/08/17
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Makala Mpya

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Amali za kimataifa za Hizb ut Tahrir za Kuinusuru Gaza!

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Amali za…

Jumanne, 18 Safar 1447 - 12 Agosti 2025

Sehemu ya amali za kimataifa zilizoandaliwa na Hizb ut Tahrir kote ulimwenguni katika kuwanusuru na kuwaombea nusra watu wetu mjini Gaza na Palestina yote inayokaliwa kwa mabavu, kuanzia mto wake hadi bahari yake.

Matoleo

Kukipokonya Silaha Chama cha Iran na Dori ya Mamlaka ya Lebanon!

Kukipokonya Silaha Chama cha Iran na Dori ya Mamlaka ya Lebanon!

Jumapili, 16 Safar 1447 - 10 Agosti 2025

Makubaliano ya kusitisha mapigano ya tarehe 27/11/2024, kati ya umbile la Kiyahudi na mamlaka za Lebanon, chini ya usimamizi wa moja kwa moja wa Marekani, yaliweka msingi wa kisiasa wa kukipokonya sil...

Ewe Hamasa ya Uislamu ndani ya Umma wa Muhammad (saw) Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) amesema: “Si Muumini anayelala ameshiba na hali jirani yake ana njaa.”

Ewe Hamasa ya Uislamu ndani ya Umma wa Muhammad (saw) Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) amesema: “Si Muumini anayelala ameshiba na hali jirani yake ana njaa.”

Jumapili, 25 Muharram 1447 - 20 Julai 2025

Miti na mawe yamelia kutokana na hofu iliyotusibu. Vifua vyetu vinatoa damu na maumivu, watoto wetu wanasisimka kutokana na njaa na kiu, wanawake wetu wanalia ili kuchochea wivu wa ulinzi wa waumini. ...

Habari za Dawah

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Amali za kimataifa za Hizb ut Tahrir za Kuinusuru Gaza!

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Amali za kimataifa za Hizb ut Tahrir za Kuinusuru Gaza!

Jumanne, 18 Safar 1447 - 12 Agosti 2025

Sehemu ya amali za kimataifa zilizoandaliwa na Hizb ut Tahrir kote ulimwenguni katika kuwanusuru na kuwaombea nusra watu wetu mjini Gaza na Palestina yote inayokaliwa kwa mabavu, kuanzia mto wake hadi...

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Kitengo cha Wanawake “Kampeni ya Kimataifa - Vita vya Sudan: Hadithi ya Ukoloni, Usaliti na Udanganyifu”

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Kitengo cha Wanawake “Kampeni ya Kimataifa - Vita vya Sudan: Hadithi ya Ukoloni, Usaliti na Udanganyifu”

Jumatatu, 10 Safar 1447 - 04 Agosti 2025

Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir Kimezindua kampeni ya kimataifa kuangazia maafa yanayozidi kuwa mabaya ya kibinadamu yanayowakabili Waislamu wa Sudan. Kampeni hii pia...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki: Matembezi ya Halaiki ya Kuinusuru Gaza “Kuwahutubia wale Wanaohusika!”

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki: Matembezi ya Halaiki ya Kuinusuru Gaza “Kuwahutubia wale Wanaohusika!”

Jumapili, 2 Safar 1447 - 27 Julai 2025

Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili (mauaji ya halaiki) ambayo yamekuwa yakiendelea kwa muda wa miezi 21, yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaz...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Enyi Ulamaa wa Umma wa Kiislamu!

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Enyi Ulamaa wa Umma wa Kiislamu!

Jumamosi, 15 Safar 1447 - 09 Agosti 2025

Palestina ni ardhi ya Kiislamu; Umar al-Faruq (ra) aliifungua, Salahudin Al-Ayubi akaikomboa, na Khalifa Abdul Hamiid II akailinda. Haiuzwi, na haikubali kugawanyika baina ya watu wake, na aliyeikalia...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu