Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Matembezi “Nusra kwa Al-Aqsa na Wafungwa”
- Imepeperushwa katika Tunisia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo siku ya Ijumaa, 3 Aprili 2026, matembezi yaliyoandaliwa na Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Tunisia, mji mkuu wa Tunisia, yalianza kutoka Msikiti wa Al-Fath baada ya swala ya Ijumaa. Matembezi hayo, yaliyofanyika kwa ajili ya kuunusuru Msikiti wa Al-Aqsa na wafungwa wa Palestina, yalikuwa na kichwa: “Kuhamasisha majeshi, kupindua viti vya watawala, na kutangaza jihad ndiyo njia pekee ya kuwaokoa wafungwa na kuikomboa Masra.”



