Jumapili, 23 Safar 1447 | 2025/08/17
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Sio Taarifa ya Bogotá wala Tangazo la New York litaweza kuliokoa umbile la Kiyahudi!

Wakati sera ya mauaji ya halaiki na njaa huko Gaza ikiendelea huku ukatili wake wote ukionekana na kusikilizwa na dunia nzima, Uturuki vile vile, inaendelea na hatua zake rasmi za kukabiliana na ongezeko la misimamo ya rai jumla nchini Uturuki. Hata hivyo, haikutia saini taarifa iliyotayarishwa na The Hague Group huko Bogotá, mji mkuu wa Colombia, Julai 15–16. Lakini katika kujibu majibu hayo, Wizara ya Mambo ya Nje ilidai kuwa taarifa hiyo huenda ikatiwa saini hadi Septemba 20, na Waziri wa Mambo ya Nje Hakan Fidan alitangaza kuwa wana dukuduku katika muktadha wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Sheria ya Bahari.

Soma zaidi...

Mwaka Mzima Umepita, Na Nchi 57 Hazijachukua Hatua Yoyote!

Miaka 76 imepita tangu Mayahudi waliponyakua Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa, na mwaka mzima umepita tangu operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa dhidi ya uvamizi, mauaji na mauaji ya halaiki. Kwa Kimbunga cha Al-Aqsa, ilidhihirika wazi kwamba umbile nyakuzi la Kiyahudi kwa hakika ni simba marara wa karatasi, na kwamba kuwepo kwake kunaendelea kutokana na usaliti wa tawala za vibaraka.

Soma zaidi...

Bandari Mpya ya Miungano "Uadui kwa Wakimbizi"

Kwa kuwa hapakuwa na mgombea ambaye asilimia ya kura zake zilizidi 50 + 1 katika uchaguzi uliofanyika Jumapili, Mei 14, raundi ya pili ya uchaguzi itafanyika mnamo Jumapili, Mei 28. Kwa sababu ya kauli zilizorushianwa kati ya miungano, vyama na viongozi wakati wa mchakato wa uchaguzi, jamii iligawanywa katika sehemu mbili, na watu wakawa maadui wa kila mmoja.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu