Nani Atakayeiunga mkono Turkistan Mashariki… Nani Atakayesema Imetosha kwa Udhalimu wa Uchina?!
- Imepeperushwa katika Uturuki
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Siku ya Ijumaa tarehe 13 Disemba baada ya swala ya Ijumaa, Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Uturuki iliandaa jukwaa la usomaji wa taarifa kwa vyomba vya habari kwa jina "Nani atakayeiunga mkono Turkistan Mashariki... nani atakayesema imetosha kwa Udhalimu wa Uchina?!"