Hizb ut Tahrir / Denmark: Kikao mbele ya Ubalozi wa Misri jijini Copenhagen!
- Imepeperushwa katika Denmark
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir/Denmark iliandaa kikao, mbele ya ubalozi wa Misri katika mji mkuu wa Copenhagen cha kuwanusuru na kuwaombea nusra watu wetu mjini Gaza na Palestina yote inayokaliwa kwa mabavu, kutoka mto wake hadi bahari yake. Ustadh Abdul Rahman Muhammad, mwanachama wa Hizb ut Tahrir nchini Denmark, alitoa kalima kwa waliohudhuria.