Usiuze Usichokuwa Nacho!
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kifiqh
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Natarajia kuwekewa wazi maudhui ya “usiuze usichokuwa nacho”. Je, inahusu kila bidhaa inayouzwa? Ama ni makhsusi tu vyakula?
Natarajia kuwekewa wazi maudhui ya “usiuze usichokuwa nacho”. Je, inahusu kila bidhaa inayouzwa? Ama ni makhsusi tu vyakula?
Imetajwa katika kitabu cha “Shakhsiya ya Kiislamu” Juzuu ya Kwanza, katika mlango: “Haja ya Umma leo kwa wafasiri” tulipozungumzia kuhusu Waarabu kuacha kutumia baadhi ya matamshi kwa kutosheka na visawe ama matamshi yanayokaribiana nayo, maadamu maana yaliyokusudiwa yamenyooka.
Ni upi usahihi wa huu msingi wa kisheria? Na je yafaa kuutumia kama dalili ya kutekeleza hukmu za kisheria polepole? [msingi wenyewe ni:
Kwanza, naomba radhi kwa maswali mengi ambayo yawafikia kutoka kwangu. Lakini tumejifunza kwenye hizb kuwa tupekue na tutafiti, ili fikra yetu ibakie kuwa yenye nguvu na safi kwa uwezo wake Mwenyezi Mungu mtukufu.
Ni upi upeo na umuhimu wa muungano wa kijeshi wa Amerika na Uingereza na Australia? Je! Umeelekezwa dhidi ya China? Au ni kichapo cha Uingereza na Amerika kwa Ufaransa baada ya kuharibu ushawishi wa Uingereza nchini Tunisia, na baada ya wafuasi wake kugeuka dhidi ya mawakala wa Amerika nchini Guinea, na baada ya juhudi za Ufaransa kujenga nguvu ya Ulaya ilio huru na Amerika?
Sheikh wetu, nina swali lau utaniruhusu, yajulikana kuwa Mtume (saw) alitafuta Nusra kwa makabila, lakini je, Maqureish walikuwa miongoni mwa makabila ambayo Mtume (saw) alitafuta Nusra kwao?
(Baraza la Kijeshi la Guinea lilitangaza kuwa litaanza, kuanzia kesho, Jumanne 14/9/2021, mfululizo wa mikutano na vikosi vya kisiasa, asasi za kiraia na wawakilishi wa kampuni za madini, ikiwa ni maandalizi ya kuunda serikali nchini ...
(Reda Gharslawi alikula kiapo cha kikatiba mbele ya Rais Kais Saied kuendesha Wizara ya Mambo ya Ndani, baada ya kushika nafasi ya mshauri, kama ilivyo kwenye ripoti ya Al-Jazeera mnamo 30/7/2021),
Mwenyezi Mungu akufungulie sheikh wetu Ata Bin Khalil Abu Rashtah na twambuomba Mwenyezi Mungu Azza wa Jallah awarahisishie kwenu wenye nguvu na ulinzi wamchao Mwenyezi Mungu, na wasafi. Swali langu sheikh wangu mheshimiwa ni: