Afisi Kuu ya Habari: Ulinganizi wa Kiulimwengu Sehemu ya 62 – Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ulinganizi wa Kiulimwengu Sehemu ya 62 – Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume
Ulinganizi wa Kiulimwengu Sehemu ya 62 – Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Pongezi za Kitengo cha Wanawake kwa Mnasaba wa Ujio wa Idd ul-Fitri Al-Mubarak 1444
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Pongezi za Wabebaji Ulinganizi kote Ulimwenguni kwa Ujio wa Idd ul-Fitri Al-Mubarak
Ujumbe wa Dkt. Nazreen Nawaz kwa Mnasaba wa Mwezi Mtukufu wa Ramadan 1444 H
Bismillah Ar-Rahman Ar-Raheem na sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa walimwengu wote, Aliyetufaradhishia kufunga mwezi wa Ramadhan na kuifanya kuwa ni miongoni mwa nguzo za Uislamu, na rehma na amani zimshukie yule aliye teremshiwa Qur’an Tukufu katika mwezi mtukufu, kama uongofu kwa watu, na hoja zilizo wazi za uongofu na upambanuzi, bwana wetu Muhammad na jamaa zake na maswahaba wake wote.
Hotuba ya Amir wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah, kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 102 ya Hijria ya Kuvunjwa Khilafah
fisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Kongamano la Kuhitimisha Amali za Kampeni ya Kumbukumbu ya Miaka 102 ya Kuvunjwa Khilafah 1444 H – 2023 M
Hizb ut Tahrir inawapa pole mashahidi wa matetemeko ya ardhi yaliyoikumba Uturuki na Syria, na inamuomba Mwenyezi Mungu Mtukufu awaandike mbele yake kuwa ni mashahidi wa Akhera, ikisadikisha Hadith iliyopokewa na Bukhari na Muslim kutoka kwa Abu Hurairah
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Angazo la Amali za Kimataifa za Hizb ut Tahrir katika Kumbukumbu ya Kuvunjwa Dola ya Khilafah 1444 H – 2023 M
Tarehe mosi ya Rajab Al-Muharram mwaka huu wa 1444 Hijria, kampeni yetu itazinduliwa katika chaneli ya Al-Waqiyah ili kuwakumbusha Waislamu yale ambayo Mwenyezi Mungu amewaamrisha juu ya kazi ya kuregesha maisha kamili ya Kiislamu na kusimamisha Khilafah Rashidah ya pili kwa njia ya Utume ambayo Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) alitubashiria.