Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Matokeo Makuu ya Vita dhidi ya Gaza!
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Matokeo Makuu ya Vita dhidi ya Gaza!
Matokeo Makuu ya Vita dhidi ya Gaza!
Majeshi ya Waislamu yanapaswa Kuiga Mifano ya Maher al-Jazi na Mashour Haditha al-Jazi.
Enyi majeshi, msichana mdogo Rahaf Ziyad Abu Sweireh (umri wa miaka 4), ambaye anatoka katika kambi ya Nuseirat huko Gaza, Hashem, aliuawa kishahidi baada ya moyo wake kusimama kwa hofu kutokana na ukali wa sauti ya mashambulizi ya mara kwa mara ya umbile nyakuzi la Kiyahudi.
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwasilisha kwa wafuasi wake na wageni wa kurasa za Afisi Kuu ya Habari silsila ya video yenye kichwa, “Kauli za Wanazuoni kuhusu Khilafah” iliyotolewa na Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir/Wilayah Pakistan.
Uongozi wa kijeshi na kisiasa, na mirengo yake yote, inategemea uwepo wao kwa dola za kikoloni za Magharibi!
Katikati ya utakaso wa sasa na kuwekwa kando maafisa ambao wanampinga mkuu wa sasa wa jeshi la Pakistan, ilijiri kutajwa kwa Hizb ut Tahrir. Gazeti maarufu la Kiurdu la “Daily Jang,” liliripoti mnamo tarehe 13 Agosti 2024, katika toleo lake kwa jiji la jeshi la Rawalpindi kwamba, “(2011) Brigedia Ali Khan alifikishwa mahakama ya kijeshi kwa kuwa na uhusiano na shirika lenye itikadi kali la Hizb ut Tahrir. Pia alituhumiwa kwa kueneza uasi ndani ya Jeshi la Pakistan.”
Enyi maafisa wa Jeshi la Pakistan! Vibaraka wa Marekani chini ya uongozi wenu ndio waliomuasi Mwenyezi Mungu na Mtume wake, rehema na amani zimshukie!
Hizb ut Tahrir inalingania Mabadiliko kupitia watu wenye nguvu, lakini yanayoafikiana na Sunnah ya Mtume!
Katika historia yake, Pakistan imeshuhudia mabadiliko ya juu juu ya vipodozi mara nyingi. Ambapo nyuso hubadilika, lakini ukoloni haribifu unasalia!
Maoni ya habari ya Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Pakistan.