Wilayah Syria: Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah
- Imepeperushwa katika Syria
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Wilayah Syria: Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah
Wilayah Syria: Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah
Taarifa iliyokusanywa kutoka kwa Jamaa wa Ghaybeh, Vipenzi vya mwenda zake Ibrahim Ghaybeh "Mwenyezi Mungu amrehemu" ikitoa maoni juu ya kuruhusu silaha.
Minbar ya Ummah: Kisimamo cha Efrin kwa Anwani: "Mapinduzi ni Fikra na Fikra Haifi"
Kisimamo cha mji wa Al-Atareb viungani mwa Aleppo kwa anwani "Daraa Inaomba Nusra kwa Ndugu Zake katika Ash-Sham"
Minbar ya Ummah: Kisimamo cha Kambi za Atma "Kifo au Udhalilishaji kwa Daraa, Kamwe Hatutaitelekeza"
Kundi la Wakaazi wa Mji wa Idlib liliandaa kisimamo kwa anwani "Kutoka Idlib ya Kijani Hadi Houran, Kitovu cha Mapinduzi Sisi Tuko Pamoja Nanyi Mpaka Kifo"
Kikundi cha watu wa Kafar Takharim, miongoni mwa wahamiaji kutoka Daraa, na wakaazi wa Kafar Takharim, walijitokeza baada ya swala ya Ijumaa, katika kisimamo ambacho kiligeuka kuwa maandamano ambayo yazagaa mabarabarani kuunusuru mji wa Tafas huko Daraa.
Minbar ya Ummah: Kisimamo cha Watu wa Viungani mwa Aleppo Kaskazini cha Kuinusuru Daraa (Tafas)
Kikundi cha watu wa mji wa Armanaz viungani mwa Idlib walijitokeza katika kisimamo cha kuwanusuru ndugu zetu huko Daraa (Tafas).
Kisimamo katika kijiji cha Killi Al-Khansa viungani mwa Idlib, kwa anwani "Matukio ya Daraa (Tafas) yathibitisha mwendelezo wa mapinduzi na udhaifu wa serikali."