Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria: Kisimamo kwa Anwani “Kumbatio, Mamlaka na Nguvu ni zenu basi Nusuruni na wala Msimtelekeze.”
- Imepeperushwa katika Syria
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kalima ya Ustadh Ali Al-Bakri wakati wa kisimamo kilichoandaliwa na Hizb ut Tahrir/Wilayah Syria siku ya Ijumaa, “Kumbatio, Mamlaka na Nguvu ni zenu basi Nusuruni na wala Msimtelekeze.”



