Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria: Mauaji kwa Mauaji, na leo Mauaji ya Kutisha huko Maarat al-Nasan!
- Imepeperushwa katika Syria
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mauaji kwa Mauaji, na leo mauaji ya kutisha huko Maarat al-Nasan.
Mauaji kwa Mauaji, na leo mauaji ya kutisha huko Maarat al-Nasan.
Katika kumbukumbu ya miaka kumi na moja ya Mapinduzi Matukufu, Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika kijiji cha Kafra viungani mwa Azaz, kwa anwani "Hakuna Mbadala katika Kuiangusha Serikali na Kusimamisha Utawala wa Uislamu!".
Katika kumbukumbu ya miaka kumi na moja ya Mapinduzi Matukufu, Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika kijiji cha Deir Hassan viungani mwa Idlib, kwa anwani "Hakuna Mbadala katika Kuiangusha Serikali na Kusimamisha Utawala wa Uislamu!".
Kutoka ukurasa huu tutaangazia amali zilizoandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria katika mwezi wa mtukufu wa Rajab wa mwaka huu wa 1443 H kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 ya kuvunjwa Dola ya Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab 1342 H
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika kijiji cha Sahara viungani mwa mji wa Halaf kwa anwani: "Kufungua Mipaka Kunatangulizwa Kuliko Kufungua Kambi za Uzuizini!"
Ripoti ya video ya Warsha iliyoandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria katika mji wa Atma viungani mwa Idlib kama sehemu ya msururu wa warsha zilizoandaliwa eneo la kaskazini mwa Syria lililokombolewa ili kueneza utambuzi wa kisiasa kati ya watu, na zilikuwa kwa anwani:
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika mkusanyiko wa kambi za Atma Magharibi viungani mwa Idlib, baada ya swala ya Ijumaa
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika kijiji cha Al-Sahara viungani mwa Aleppo, baada ya swala ya Ijumaa,
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo katika barabara kuu ya Idlib / Bab Al-Hawaa, baada ya swala ya Ijumaa, kwa anwani "Ewe Daraa, Tusamehe (Lakini wakiomba msaada kwenu katika Dini, basi ni juu yenu kuwasaidia) [Al-Anfaal: 72]"
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika kijiji cha Dabeq viungani mwa Aleppo Kaskazini, baada ya swala ya Ijumaa, kwa anwani "Ewe Daraa, Tusamehe (Lakini wakiomba msaada kwenu katika Dini, basi ni juu yenu kuwasaidia) [Al-Anfaal: 72]"