Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Kisimamo cha Kayrawan “Damu ya Mashahidi Wetu Itawaandama Walowezi Walioachwa na Ufaransa, na Watu kamwe Hawatasahau.”
- Imepeperushwa katika Tunisia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia iliandaa kisimamo katika mji wa Kayrawan kwa anwani “Damu ya Mashahidi Wetu Itawaandama Walowezi Walioachwa na Ufaransa, na Watu kamwe Hawatasahau.”