Demokrasia Iko Zaidi ya Uchi Nchini Kenya
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
RAYAWakenya hivi majuzi pasi na shaka yoyote walishuhudia kufichuka kwa demokrasia zaidi ya maelezo kiasi ya kuwa hata watetezi wenyewe wa demokrasia walipigwa na bumbuazi wasijue pa kuficha nyuso zao pindi sura halisi ya demokrasia ilipojitokeza wazi kinyume na matakwa yao na njama zao za kuiziba.



