Syria ndio Mji Mkuu wa Uzalishaji Mihadarati wa Mashariki ya Kati chini ya Sheria za Kibepari
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo tarehe 25 Disemba 2022, serikali ya Jordan ilisitisha usafirishaji wa dawa za kulevya kwenye mpaka wa Syria. Tani moja ya tembe za amphetamine zilisafichwa ndani ya krimu ya tende kwenye mpaka na Iraq.