Rais wa Palestina Mahmoud Abbas Aomba Kutambuliwa na Ushiriki na Umbile Halifu la Kiyahudi katika Baraza la Umoja wa Mataifa
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Tarehe 23 Septemba 2022, Mahmoud Abbas, rais wa Mamlaka ya Palestina alikariri ombi lake la kutaka Dola ya Palestina kuwa mwanachama kamili wa Umoja wa Mataifa, na kuonya kuhusu kufifia matarajio ya amani na Israel, katika hotuba yake kwa Baraza Kuu mnamo Ijumaa.