Muislamu Anayedaiwa Kuwa ‘Gaidi’ Hastahili Kuachiliwa na Mahakama chini ya Tawala za Kisekula!
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo Jumatano, 7 Oktoba 2020 Hakimu Mkuu mjini Nairobi Francis Andayi alihukumu kuwa Liban Abdillahi Omar hana makosa katika tukio la kigaidi la Westgate.