Kitengo cha Wanawake cha Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir kimezindua Kampeni na Kongamano la Kiulimwengu: Changamoto za Familia na Suluhisho za Kiislamu
- Imepeperushwa katika Kampeni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir kilizindua kampeni ya kiulimwengu kwa anwani, “Familia: Changamoto na Suluhisho la Kiislamu” ambayo itamalizikia katika kongamano la kimataifa la wanawake mwishoni mwa Oktoba litakalo hudhuriwa na wazungumzaji kutoka pembe zote za dunia.



