Musiwaunge Mkono Madhalimu
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Rais Recep Tayyip Erdogan anahudhuria Mkutano wa Wakuu wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO), ambayo inafanya mkutano wake wa 22, kwa mara ya kwanza.
Rais Recep Tayyip Erdogan anahudhuria Mkutano wa Wakuu wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO), ambayo inafanya mkutano wake wa 22, kwa mara ya kwanza.
Zaidi ya Waindonesia milioni 50 wa umri wa uzalishaji wamo katika kizazi cha "sandwich". Wako chini ya mzigo wa kiuchumi wa kulazimika kuwasimamia watoto wao na wakati huo huo kusimamia mahitaji ya kizazi kilicho juu yao.
Seneta Mushtaq Ahmad mnamo Jumatatu, 5 Septemba 2022, aliwasilisha mswada wa marekebisho katika Sheria ya Ulinzi wa Wanaobadili jinsia kwa Kamati ya Kudumu ya Seneti ya Haki za Kibinadamu.
Rais Erdogan, katika taarifa alizozitoa baada ya Mkutano wa Rais wa Baraza la Mawaziri, alitangaza kuwa madeni ya watu milioni 5.5 ambao wako chini ya taratibu za utekelezaji yatafutwa.
Benki Kuu ya Zimbabwe hivi karibuni imezindua sarafu mpya ya dhahabu inayoitumainia kutokamana nayo itapunguza mahitajio ya pesa za kigeni.
Mnamo Ijumaa, 16 Septemba 2022, BBC iliripoti juu ya kifo cha mwanamke mmoja wa Iran mwenye umri wa miaka 22 baada ya kukamatwa na polisi wa maadili kwa madai ya kutofuata sheria kali za kufinika kichwa. Kukamatwa kwake kulisababisha apelekwe hospitalini kwa jeraha la kichwa lililomsababishia kukosa fahamu kwa siku kadhaa.
Leo, Rais Joe Biden alitoa taarifa kuhusu kupanda kwa Fahirisi ya Bei ya Watumizi (CPI) mnamo Septemba. Alichora takwimu za kukatisha tamaa kuhusu uchumi wa Marekani kwa njia chanya ya kushangaza: "Takwimu za leo zinaonyesha maendeleo zaidi katika kushusha mfumko wa bei duniani katika uchumi wa Marekani.
Mnamo tarehe 25 Agosti, Tume iliyoteuliwa na serikali ya Denmark ilipendekeza kupigwa marufuku kwa wasichana kuvaa Hijab katika shule za msingi kote nchini.
Mnamo tarehe 24 Agosti, tume inayoitwa "Tume ya mapambano ya wanawake yaliyosahaulika" iliyopewa kazi na serikali ya Denmark, ilichapisha mambo tisa ya kupambana na kile ambacho kimeanzishwa katika siasa za Denmark kama "udhibiti hasi wa kijamii". Pendekezo, lililopata mjadala mkali zaidi katika vyombo vya habari vya Denmark na kwenye mitandao ya kijamii, lilikuwa ni pendekezo la kupiga marufuku hijab za Kiislamu katika shule za msingi.
Waziri wa Ulinzi wa Urusi Sergei Shoigu alitangaza nia ya Moscow ya kuimarisha kambi za kijeshi nchini Tajikistan na Kyrgyzstan kuhusiana na hali nchini Afghanistan. Mkuu huyo wa Wizara ya Ulinzi ya Urusi alitoa taarifa hiyo dhidi ya mazingira ya mazoezi ya kijeshi nchini Tajikistan "Ushirikiano wa Kikanda - 2022" pamoja na ushiriki wa nchi za Asia ya Kati, Amerika, Mongolia na Pakistan.