Alhamisi, 28 Rabi' al-awwal 1448 | 2026/09/10
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Vichwa vya Habari 14/07/2021

Rais wa Uturuki  Recep Tayyip Erdogan amewasiliana na kiongozi mpya mwenza wa ‘Israel’, akimpongeza kwa kuingia madarakani na  kumkumbusha umuhimu wa uhusiano wao wa pande mbili. Erdogan alizungumza na Raisi mpya aliyeapishwa wa ‘Israel’ Yitzak Hertzog kupitia njia ya simu mnamo Jumatatu, 12 Julai. Wakati wa maongezi hayo ya simu, Rais wa Uturuki alisema alimsisitiza dori muhimu ambazo ‘Israel’ na Uturuki zinacheza katika kuhakikisha usalama na utulivu Mashariki ya Kati.

Soma zaidi...

Vichwa vya Habari 23/05/2021

Wawakilishi wa Misri waweka juhudi zaidi katika kurefusha muda wa kusitisisha mapigano kati ya Israel na wanamgambo wa Palestina Jumamosi hii, na maafisa wa misaada wametaka uwepo wa hali ya utulivu ili waweze kukabiliana na mzozo wa kibinadamu ulioikumba Gaza baada ya siku 11 za mapigano. 

Soma zaidi...

Uhakiki wa Habari: 17/04/2021

Wiki hii Rais wa Amerika Joe Biden ametangaza kwamba hatarudisha nyuma uamuzi wa mtangulizi wake wa kuondoa majeshi kutoka nchini Afghanistan lakini atachelewesha hilo hadi kufikia tarehe 11 Septemba 2021, tarehe hiyo itakuwa ni sawa na kufikisha miaka 20 tangu kutokea mashambulizi ya 9/11 ambayo ndio sababu kuu ya kuivamia Afghanistan.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu