Jibu la Swali: Kazi ya Hizb ut Tahrir Baada ya Kusimama Khilafah Rashidah
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kimfumo
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ningependa kuuliza kuhusiana na kuendelea kwa kazi ya Hizb ut Tahrir baada ya kusimama Khilafah Rashida: Kazi yake itakuwa ni nini baada ya kusimama kwake? Kubakia kwake kutakuwa kwa lengo gani? Na dalili ya hilo ni ipi?



