Kupinga Urongo wa Mwandishi Majid al-Khatib Da’wah ya Hizb ut Tahrir ni Safi Haichafuki Kutokana na Kelele za Porojo
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Katika Makala yaliyochapishwa na gazeti al-Asharq al-Awsat (Toleo 14144, Jumatano, Mei 16, 2018), chini ya anwani “Shambulizi la kigaidi la kisu la hivi majuzi jijini Paris lathibitisha hofu ya Wajerumani dhidi ya misimamo mikali ya Wachechen”,



