Tanzia ya Wabebaji Ulinganizi Wawili
- Imepeperushwa katika Jordan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo 1 Julai 2021, katika Jumba la Bunge, Jenerali Bajwa na Mkurugenzi Mkuu wa ISI, Luteni Jenerali Faiz Hameed, waliuelezea uongozi wa kisiasa juu ya hali ya usalama wa kitaifa, haswa kuhusu Afghanistan.
Mnamo 28 Juni 2021, Bloomberg iliripoti kwamba India imeelekeza angalau vikosi 50,000 vya ziada mpakani mwake na China, na kuongeza uwepo wa askari huko hadi 200,000, juu na zaidi ya asilimia 40 kutoka mwaka jana, katika mabadiliko ya kihistoria katika msimamo wa kijeshi wa kiushambulizi.
Kufuatia kampeni ya kilimwengu inayoendelea ya kunyakuliwa Naveed Butt, msemaji wa Hizb ut Tahrir, Wilaya ya Pakistan ambaye alitekwa nyara na shirika la kijasusi la Pakistan zaidi ya miaka 9 iliyopita.
Maisha Chini ya Urasilimali ni Mateso na Yamekuwa ni Mfano Kamili ya Jahannam Ardhini
Hizb ut Tahrir / Wilayah Bangladesh inatoa rambi rambi zake za dhati kwa Waislamu waliofiwa wa wilaya ya mbali ya milima ya Bandarban ya Bangladesh ambao wamempoteza kiongozi wao mhamasishaji Omar Faruk Tripura, Mwislamu mwenye umri wa miaka 55 aliyeuawa mbele ya nyumba yake kama shahidi (inshaAllah) mikononi mwa maadui wa Uislamu.
Mnamo Juni 6 2021 mawaziri wa Fedha wa Afrika Mashariki waliwasilisha bajeti zao za taifa kwenye mabunge yao kwa mwaka wa fedha wa 2021/2022
Mnamo Siku ya Jumapili tarehe 6 Juni, familia moja ya Kiislamu jijini London, Ontario, Canada iliuawa katika shambulizi la kuogofya la kigaidi na dereva ambaye aliwakanyaga kwa makusudi ndani ya lori,
Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan chini ya uongozi wa Msemaji Rasmi Ibrahim Othman Abu Khalil, akiandamana na Ustadh Nasser Ridha Muhammad Othman