Marufuku ya Niqab huko Uholanzi imepelekea Stara kuwa ni Uhalifu, Inathibitisha kwa Mara Nyingine Namna Ubaguzi wa Dini Umekita Mizizi ndani ya Nidhamu ya Kisekula ya Kihuria
- Imepeperushwa katika Kitengo cha Wanawake Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo 1 Agosti, marufuku ya Niqab yalianza rasmi ndani ya Uholanzi, yakiwazuia wanawake Waislamu kutovaa kizuizi nyusoni mwao wanapokuwa katika taasisi za umma, ikijumuisha shule, hospitali na afisi za serikali pamoja na mabasi na treni.



