Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir/ Wilayah Sudan Wakutana na Ustadh Al-Taher Hassan Al-Mohami
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir/ Wilayah Sudan Wakutana na Ustadh Al-Taher Hassan Al-Mohami.
Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir/ Wilayah Sudan Wakutana na Ustadh Al-Taher Hassan Al-Mohami.
Mkutano huo ulijadili hali ya kisiasa nchini, vita vinavyoendelea, na hali ya mvutano kati ya vipote vya watu wa Sudan, kutoka kwa mapigano ya kikabila, migogoro kwa msingi wake, na maafa ambayo imeleta juu ya nchi na watu, na kwamba njia ya kutoka humo inawezekana tu kwa msingi wa hukmu za Uislamu mtukufu na sheria yake.
Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan, ukiongozwa na Sheikh Nasser Ridha, Mkuu wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan, na akiwemo Abdullah Hussein, Mratibu wa Kamati Kuu ya Mawasiliano, na Mohammed Mukhtar, Mwanachama wa Hizb ut Tahrir, ulikutana na Sheikh Othman Arefa, mjumbe wa Kamati ya Wanazuoni wa Jimbo la Bahari Nyekundu na Imam wa Msikiti wa Ibn Masoud, mnamo siku ya Jumamosi, 25 Shawwal 1445 H sawia na 4 Mei 2024 M, katika Afisi ya Hizb ut Tahrir Wilayah ya Sudan. katika mji wa Port Sudan.
Kutekwa nyara kwa Naveed Butt tangu tarehe 11 Mei 2012, ni dhambi kubwa na ukiukaji wa wazi wa haki za binadamu. Hakuna kesi ya ugaidi, uasi au uhaini iliyosajiliwa dhidi ya Naveed Butt. Zaidi ya hayo, hakuna kesi hata ya kumdhuru nzi, au kung'oa jani kutoka kwa mti, ya Naveed Butt mwenye huruma na mkarimu.
Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan, ulioongozwa na Ustadh Yaqoub Ibrahim, na mwanachama: Ustadh Mwanasheria Ahmad Abkar, Mjumbe wa Baraza la Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan, na Ustadh Suleiman Al-Dasis, na Ustadh Daoud Abdullah, wanachama wa Hizb ut Tahrir, walimtembelea, Bw. Azraq Tilfone, Nazir (Kiongozi Mkuu) wa Makabila ya Nuba nchini Sudan, katika makaazi yake mjini Port Sudan mnamo siku ya Ijumaa, 24 Shawwal 1445 H sawia na 3/5/2024 M.
Mgogoro wa Sudan, vita vinavyoendelea na matokeo yake yalijadiliwa. Pande zote mbili zilisisitiza umuhimu wa suluhisho kuwa mbali na uingiliaji kati na ajenda za kutoka nje, na kwamba suluhisho lazima litokane na itikadi tukufu ya Uislamu.
Katika wimbi la maandamano ya hivi karibuni katika vyuo vikuu nchini Marekani na kote ulimwenguni, wanafunzi na vitivo wameelezea waziwazi kupinga kwao kwa njia ya amani, kupaza sauti na kampeni ya umma ikitaka kukomesha mauaji ya halaiki mjini Gaza.
Serikali ya Hasina Yamfanya Aliyekuwa Jenerali Mkuu wa Polisi Benazir Ahmed Mtuhumiwa wa 'Kuziba' Ufisadi Mkuu wa baadhi ya ‘Vigogo wa Kisiasa’ wa Chama chake na Mabepari.
Enyi Waislamu wa Pakistan! Waislamu Jasiri wa Gaza Wanasimama Kidete Mbele ya Umbile la Kiyahudi, Hivyo Musikate Tamaa. Washajiisheni Ndugu Zenu na Watoto Wenu katika Vikosi vya Jeshi la Pakistan Kutangaza Jihad kwa ajili ya Ukombozi wa Palestina.
Hatimaye Jenerali Francis Ogolla amezikwa. Baada ya kifo na mazishi, kuna haja ya kuzingatia mambo yafuatayo: