Khilafah ndiyo Inayoyaelekeza Majeshi Kulinda Heshima
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Wavuti wa Showtime ulichapisha rekodi ya raia, ambayo kwayo anawaomba raia wa Jimbo la Khartoum kufuatilia habari za binti zao waliopotea tangu kuanza kwa vita, na inasema kwamba wanamgambo walianza kuuza wasichana waliotekwa nyara kutoka mji mkuu, lakini pindi juhudi zao zilipofeli, walianza kudai fidia ya kuachiliwa kwao huru.



