Kukamatwa kwa ajili ya "Sarakasi za Uchaguzi"
- Imepeperushwa katika Tunisia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia ilitoa taarifa kwa vyombo vya habari chini ya kichwa: "Licha ya Udanganyifu wa duara za Magharibi na sarakasi ya uchaguzi wa wabunge...mapinduzi ya Umma yanaendelea kusimamisha Khilafah ya Kiislamu"



