Watoto wa Syria: Maiti na Viungo vya Miili! Nani Atawasaidia na Kuzuia Ukandamizaji wa Mtawala Dhalimu Bashar na Maadui juu yao?
- Imepeperushwa katika Kitengo cha Wanawake Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Asubuhi ya Jumatano tarehe 20/10/2021, vikosi vya al-Assad vililenga vitongoji kadhaa vya Ariha, mji wenye wakaazi wengi raia, na kurusha makombora zaidi ya tisa mfululizo ambayo yalipiga shule kadhaa, na kuacha mashahidi kadhaa,



