Majibu kwa Vyombo vya Habari
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Tumesoma maoni yenu juu ya toleo la Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan lenye kichwa: "Makubaliano ya Burhan na Hamdok...
Tumesoma maoni yenu juu ya toleo la Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan lenye kichwa: "Makubaliano ya Burhan na Hamdok...
Ni furasa kwetu sisi katika Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir/Wilayah Sudan kuwaalika ndugu zetu wataalam wa habari, wanasiasa, wasomi na wanamaoni kuhudhuria na kushiriki katika Kikao cha Kadhia za Umma cha kila mwezi,
Kwa nyoyo zinazonyenyekea kwa Qadhaa na Qadar ya Mwenyezi Mungu (swt), na kwa macho yanayobubujika machozi, Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan inamuomboleza aliyesamehewa kwa idhini ya Mwenyezi Mungu (swt):
Tulipitia makala ya mwandishi Ahmed Musa Qurei'i yenye kichwa "Uislamu wa Kisiasa... Shajara za Baruti na Damu" katika gazeti lenu la Al-Sayha Toleo 2411 la tarehe 20/10/2021,
Ni furaha kwetu katika Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan kuwaalika ndugu zetu wataalamu wa vyombo vya habari,
Kwa nyoyo zilizojaa imani na kuridhika na qadhaa ya Mwenyezi Mungu (swt), na kwa macho yaliyojaa machozi, Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan inamuomboleza yule aliyesamehewa, kwa idhini ya Mwenyezi Mungu:
Mji mkuu wa Sudan, Khartoum, alishuhudia onyesho la mitindo kwa wanawake kwa mara ya pili na mwanamitindo Nermin Qarqafi, lililohudhuriwa na kundi la vyombo vya habari, sanaa na watu maarufu wa jamii.
Mnamo siku ya Jumanne, 07/06/2021, Ethiopia iliiarifu Sudan juu ya kutekeleza ujazo wa pili wa ziwa la Bwawa la An-Nahdha, kwa kiasi cha mita za ujazo bilioni 13.5 za maji, ambayo inasababisha uharibifu wa huduma muhimu za Khartoum na maisha ya wakaazi milioni 20, kwa mujibu wa taarifa rasmi.
Wajumbe wa nchi za Troika, na Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan, walimaliza mazungumzo na mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Watu-Kaskazini (SPLM-N) Abdelaziz El-Hilu, katika ngome ya uongozi wa harakati hiyo.
Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan chini ya uongozi wa Msemaji Rasmi Ibrahim Othman Abu Khalil, akiandamana na Ustadh Nasser Ridha Muhammad Othman