Mabadiliko Yanawajibisha Utiifu kwa Mwenyezi Mungu (swt), Kuhukumu kwa Yale Yote Aliyoyateremsha Mwenyezi Mungu (swt) kupitia Khilafah
- Imepeperushwa katika Khilafah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Quran tukufu inaelezea habari za mataifa tafauti na sababu za kushindwa kwao. Kuna sababu moja tu, nayo ni kuwa, hawakumtii Mwenyezi Mungu (swt). Ima wawe ni watu wa Nuh (as), watu wa Lut (as), Aad au Thamud, ambapo suala la kutomtii Mwenyezi Mungu (swt) kwao lilitafautiana.