Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 269
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Vichwa Vikuu vya Toleo 269
Vichwa Vikuu vya Toleo 269
Vichwa Vikuu vya Toleo 268
Vichwa Vikuu vya Toleo 267
Al-Jazeera imeripoti kwamba wanajeshi watatu wa India waliuawa kwa silaha zilizorushwa kutoka upande wa Kashmir, wakati Pakistan imetangaza kufariki kwa wanajeshi wake wawili na mwengine kujeruhiwa na makombora kutoka India, katika mstari wa udhibiti unaotenganisha pande mbili hizo.
Uingereza kwa muda mrefu imekuwa katika kilele cha kutawala kiasi kwamba jua halikuchwa na kileleni mwake taifa hili la kisiwa lilitawala zaidi ya asilimia 25 ya watu duniani.
Vyombo vya habari vimeripoti kushikwa kwa Mukhtar Robow "Abu Mansur" siku ya Alhamisi, 13 Disemba 2018 akiwa katika mkutano wa kawaida ulioitishwa na rais mshikilizi wa Jimbo la Kusini Magharibi ya Somalia mjini Baidoa.
Somalia kwa takribani miongo mitatu ilikuwa haistahili kupata pesa kutoka kwa Muungano wa Maendeleo wa Kimataifa wa Benki ya Dunia (IDA) kwa sababu ilikuwa inadaiwa na Benki hiyo na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF)
Kila taifa kubwa huwa na mipaka maalumu ambayo haipaswi kuvukwa. Kutokana na hili, mataifa makubwa, hususan mataifa ya kimfumo, huchunga nguvu yao ya kijeshi pamoja na mfumo wao.
Katika kongamano mnamo 9 Julai 2018 jijini Asmara, Raisi wa Eritrea Isaias Afewerki na Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed walitia saini “Tangazo la Pamoja la Amani na Urafiki”.
Mapendekezo ya ushuru yaliyowasilishwa kupitia Mswada wa Fedha wa 2018 yameandaliwa kuzalisha ongezeko la mapato ya ushuru la shilingi bilioni 27.5 la mwaka wa matumizi ya serikali wa 2018/2019.