Mashini ya Pesa - “Qu’ils mangent de la brioche”
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
BP imeripoti faida yake kubwa zaidi ya robo mwaka kwa miaka 14 baada ya bei ya mafuta na gesi kupanda.
BP imeripoti faida yake kubwa zaidi ya robo mwaka kwa miaka 14 baada ya bei ya mafuta na gesi kupanda.
Bangladesh yakabiliwa na miaka mingine mitatu ya kukatwa kwa umeme huku taifa hilo linaloendelea likitatizika kupata mahitaji ya muda mrefu ya gesi asilia na bei yake iko nje ya soko la hapo kwa hapo.
Majeshi ya Misri, Jordan, Hijaz na Uturuki yanawatazama Mayahudi wakiupiga mabomu Ukanda wa Gaza, lakini hawahamasiki, kana kwamba jambo hilo haliwahusu!
Rais Erdoğan anakwenda Sochi mnamo Agosti 5 kukutana na kiongozi wa Urusi Putin. Erdoğan na Putin watajadili ukanda wa nafaka, vita vya Ukraine na Urusi, uwezekano wa operesheni ya Uturuki Syria na Kiwanda cha Nyuklia cha Akkuyu.
Washindi na Watakaoshindwa kwenye Uchaguzi wa Agosti Wote ni Mawakala wa Mfumo Uliofeli wa Demokrasia
Namuomba Mwenyezi Mungu (swt) kwamba al-Zawahiri awe miongoni mwa wale ambao Mwenyezi Mungu (swt) anawahuisha pamoja Naye, akiwaruzuku wote, na kwamba Mwenyezi Mungu (swt) amjaalie daraja za juu kabisa za Pepo na starehe, kama ambavyo Yeye (swt) amruzuku shufaa kwa familia yake.
Baraza la mawaziri la federali lilikuwa limeidhinisha agizo mnamo Alhamisi la kuuza hisa za makampuni ya mafuta na gesi na mitambo ya kuzalisha umeme inayomilikiwa na serikali kwa Imarati ili kukusanya dolari bilioni 2 hadi bilioni 2.5 ili kuepusha kushindwa kulipwa madeni.
Mnamo Julai 4, Shirika la Habari la Fergana, likinukuu Afisi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu na Huduma ya Usalama ya Serikali, liliripoti: “Mnamo Julai 1-2, maandamano makubwa yalifanyika kupinga kuanzishwa kwa marekebisho ya Katiba ambayo yangeinyima jamhuri hadhi yake ya kisheria.
Kura ya maoni ya katiba imepangwa kufanyika nchini Tunisia mnamo tarehe 25 Julai. Ikipita itakuwa ni katiba ya pili baada ya mapinduzi ya 2011.
Kichwa cha habari cha kushtua katika gazeti la Independent mnamo tarehe 15 Julai kinasomeka: "Aina mpya ya Uviko ya 'Stealthy' inaweza kukuambukiza tena na tena kila mwezi."