Mabadiliko Halisi Hayawezi Kutarajiwa Kupitia Uchaguzi Chini ya Demokrasia
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Chama cha Pakistan Tehreek-i-Insaf (PTI) cha Imran Khan mnamo tarehe 17 Julai 2022 kiliipiku PML-N kwa kushinda angalau viti kumi na tano, katika uchaguzi mdogo muhimu.