Kujumuishwa kwa Aliyekuwa Msemaji wa Al-Shabab katika Serikali ya Kidemokrasia nchini Somalia
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mwanzilishi mwenza na msemaji wa zamani wa harakati ya Mujahidina ya Al-Shabab, Mukthar Robow ameteuliwa kuwa Waziri wa Masuala ya Kidini na Waziri Mkuu wa Somalia. "Tunakaribisha uteuzi wake. Hatua hiyo itaendeleza maridhiano na itakuwa mfano mzuri kwa uasi wa ngazi za juu kutoka al-Shabab," alisema mchambuzi wa kisiasa Mohamed Mohamud.



