Uhuru Hauwezekani Chini ya Mfumo wa Kidemokrasia wa Kirasilimali
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Jitayarisheni na msubiri wito wangu kwa Islamabad, Imran Khan asema huko Lahore Jalsa “LAHORE: Mwenyekiti wa PTI Imran Khan Alhamisi aliwataka Wapakistani kujitayarisha kuanzisha kampeni ya "uhuru halisi" na kusubiri wito wake kwa Islamabad, huku Waziri Mkuu huyo aliyeng’atuliwa mamlakani akisisitiza hatakubali "serikali iliyoingizwa kutoka nje" kwa gharama yoyote.”



