Ufisadi wa Kiutawala ni Matunda Maovu ya Itikikadi ya Kisekula ya Kiliberali
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Wawaniaji wa kiti cha urais Raila Odinga wa ODM na yule wa Muungano wa UDA naibu raisi William Ruto wanazunguka pembe zote za nchi katika kampeni zao za uchaguzi wa 2022 huku wawili hao wakiwaahidi wapiga kura: Kung’oa kabisa ufisadi!