Wachache Wameachiwa Huru, Lakini Mahabusu Wengi Bado Wanateseka Vizuizini
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo tarehe 04/03/2022, kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Freeman Mbowe na watuhumiwa wenzake watatu waliachiliwa huru baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka kufuta mashtaka ya ugaidi dhidi yao.