Ikiwa Taasisi za Umma Zinabambikia Kesi Wananchi Wao Wenyewe Wasio Na Hatia, Je Haki Itapatikana Wapi?
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Siku ya Jumanne tarehe 18 Mei 2021, Raisi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan wakati akizindua karakana ya kushonea sare za Polisi alisema kuwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) tayari imeshafuta kesi 147 za kubambikiza, na kulitaka Jeshi la Polisi kufanya hivyo pia.