Tanzia ya Mbebaji Ulinganizi
- Imepeperushwa katika Tunisia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia inamuomboleza mmoja wa wanachama wake, mheshimiwa na mbebaji ulinganizi:
Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia inamuomboleza mmoja wa wanachama wake, mheshimiwa na mbebaji ulinganizi:
Kama ilivyotarajiwa, kwa mara nyengine tena bei ya mafuta imepanda maradufu kuwahi kushuhudiwa katika historia ya Kenya baada ya serikali kusitisha mpango wake wa kulipia gharama za bidhaa za petroli ulioanzishwa mwezi Aprili mwaka huu kama njia ya kuepusha hasira za raia dhidi ya gharama kubwa za maisha.
Wanahabari, vyombo vya habari, mawakili, vyama vya upinzani na mashirika ya kutetea haki za binadamu ya Pakistan wanapambana na Mswada wa Maendeleo ya Vyombo vya Habari wa Pakistan, wakiulaani kama jaribio la kuvinyonga vyombo vya habari.
Kwa nyoyo nzito, Waislamu nchini Pakistan na Kashmir Iliyokaliwa walisikia habari za kuuawa shahidi kwa Syed Ali Gilani, huko Srinagar, mnamo Jumatano tarehe 1 Septemba 2021, saa 10.30 jioni.
Hatimaye, baada ya miaka 20 ya uvamizi wa Afghanistan na Waamerika na washirika wao, vikosi hivyo vya uvamizi baada ya kushindwa kwa udhalilifu, viliondoka Afghanistan kwa huzuni saa sita usiku mnamo 30 Agosti 2021.
Ni furaha kwetu katika Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan kuwaalika ndugu zetu wataalamu wa vyombo vya habari,
Siku ya Ijumaa tarehe 13 Agosti,2021 zaidi ya Waislamu 22 waliuwawa na wengine 14 kujeruhiwa katika shambulizi jipya katika mji wa Jos katikati ya Nigeria.
Kuchukuliwa tena kwa Afghanistan na Taliban kutabiriwa kufuatiwa na wimbi la madai na mafuriko ya utiaji hofu kutoka kwa serikali za Magharibi,
Kais Saied, Kamanda Mkuu wa Jeshi nchini Tunisia, hakuwaaga maafisa wetu na majeshi kutoka kitengo chetu cha helikopta za kijeshi,