Tanzia ya Mbebaji Ulinganizi
- Imepeperushwa katika Tunisia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kitengo cha Wanawake cha Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Tunisia kinamuomboleza mmoja wa wanachama wake, mbebaji wa da'wah na dada mwema:
Kitengo cha Wanawake cha Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Tunisia kinamuomboleza mmoja wa wanachama wake, mbebaji wa da'wah na dada mwema:
Wapiganaji elfu chache, wenye silaha duni, wa upinzaji wa Afghanistan sasa wamewekwa nje kidogo ya Kabul, wakiwa tayari kukizika kiburi cha dola ya tatu ya wakoloni katika makaburi ya himaya, chini ya ardhi iliyomwagiliwa na damu safi ya majeshi ya mashahidi,
Ashraf Ghani, Rais wa Afghanistan, katika mkutano mmoja na viongozi kadhaa wa kisiasa na wawakilishi wa makabila wenye ushawishi, alisisitiza juu ya uhai na kudumu kwa 'Jamhuri' ambapo walikubaliana juu ya kuhamasisha, kuimarisha na kuyahami kwa haraka uasi wa umma dhidi ya shambulizi la upinzani wa kisilaha [Taliban].
Mfululizo wa matukio ya machafuko ulianza mnamo Jumanne jioni, 10/08/2021, baada ya kuuawa kwa kijana mmoja mwenye umri wa miaka 18 wakati wa vita katika wilaya ya Altindağ ya Ankara, ikifuatiwa na kurusha mawe katika nyumba za wahamiaji kutoka Syria na uporaji maduka yao.
Kwa mujibu wa huduma ya habari ya Idara Kuu ya Mambo ya Ndani ya jimbo la Chuy, mwanaharakati mmoja katika Kitengo cha Wanawake cha Hizb ut Tahrir, mzaliwa wa mkoa wa Jalal Abad, katika wilaya ya Alamüdün ya jimbo la Chuy, alikamatwa.
Kwa rehema za Mwenyezi Mungu SWT, Harakati ya Hizb ut-Tahrir Kenya imetamatisha kampeni yake ya kiuchumi ilioanza tarehe 11 Julai 2021, na kutamatika tarehe 11 Agosti 2021.
Hamid ur Rahman Sharifi, mbebaji ulinganizi wa Hizb ut Tahrir, aliuwawa shahidi mnamo 8 Agosti kwa shambulizi la makombora lililotokana na mzozo mkali katika mkoa wa Kunduz.
Wakati Waziri wa Mambo ya Ndani wa Mrengo wa kulia wa Ufaransa Gerald Darmanin aliposema mnamo Desemba 2020 kwamba Mwenyezi Mungu kwa njia yoyote si mtukufu zaidi ya jamhuri ya Ufaransa yeye kwa kweli alionyesha unafiki wa hadhi ya watu wa kawaida wa Ufaransa.
Mnamo 30 Julai 2021, Waziri Mkuu wa Sindh alitangaza kuifunga kwa ghafla Karachi kwa siku tisa, jiji kubwa zaidi la Waislamu ulimwenguni, lenye idadi ya watu inayokadiriwa kuwa zaidi ya milioni ishirini, akidai kwamba ililenga kudhibiti kuenea kwa virusi vya Korona aina ya Delta.
Mnamo tarehe 31/07/2021, tovuti ya KUN.UZ ilichapisha habari: Wanajeshi wa Wilaya ya Kati ya Kijeshi ya Jeshi la Urusi walifika Uzbekistan kushiriki mazoezi ya pamoja katika ya Uzbek na Urusi katika uwanja wa mafunzo wa Termez huko Surkhan Darya.