Milipuko ya Mibaya na Mioto Inayoendelea ni Kufeli kwa Mfumo wa Kisekula kwani daima humlinda Raisi wa Nchi kutokana na Kuwajibika kwa Matukio haya na Watu
- Imepeperushwa katika Bangladesh
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Bangladesh inashuhudia mfululizo wa matukio mabaya ya moto moja baada ya jengine katika miaka kadhaa iliyopita ambayo yamesababisha vifo vya watu wengi na kujeruhiwa. Pigo la sasa lilisababisha milipuko mitatu mfululizo ndani ya siku nne pekee.