Utiifu kati ya Uislamu na Ubepari
- Imepeperushwa katika Misri
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Aliyekuwa Mufti Mkuu wa Misri, Mkuu wa Kamati ya Masuala ya Kidini na Kamati ya Awqaf (Wakfu) Bungeni, Ali Gomaa alisema kuwa fahamu ya uraia katika zama za kisasa ni mkataba wa kijamii kati ya mtu binafsi na dola na fahamu hiyo ndiyo iliegemezwa fahamu ya Utaifa juu yake, ambayo inahusisha haki na wajibu wa mtu binafsi katika jamii.