Jumanne, 18 Dhu al-Qi'dah 1447 | 2026/05/05
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Watawala wa Pakistan Wametoa Kiapo cha Utiifu kwa Mfumo wa Kimataifa unaoongozwa na Marekani, Kuyafanya Watumwa Majeshi Yetu, Kuuweka Uchumi Wetu Rehani kwa Taasisi za Kimataifa na Kuufanya Mfumo Wetu wa Utawala na wa Kisiasa Mtiifu kwa Magharibi

Huku sokomoko ya uchaguzi ikiendelea nchini Pakistan, Waislamu wa Pakistan wanaungua kwa hasira na mfadhaiko kutokana na mauaji ya ndugu na dada zao wa Kipalestina huko Gaza, mikononi mwa umbile halifu la Kiyahudi.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Matembezi ya Kuinusuru na Kuiombea Nusra Gaza

Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Tunisia, iliandaa matembezi ili kuyataka majeshi ya Waislamu yataharaki kuwanusuru Waislamu wanyonge katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kimabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na makucha ya Mayahudi wauwaji wahalifu.

Soma zaidi...

Kinachoitwa Ubwana wa Dola za Kitaifa na Ushirikiano wa Dola Vibaraka na Kafiri Mkoloni Dhidi ya Watu wao wenyewe

Takriban watu 40 wameripotiwa kuuawa katika ulipizaji kisasi wa Marekani, ambao pia ulihusisha utumiaji wa mabomu ya kimkakati aina ya B-1B. Iraq kwa upande mwingine ilitangaza kuwa watu 16 wakiwemo raia wameuawa katika mashambulizi ya Marekani katika saa zilizopita.

Soma zaidi...

Wajibu wa Serikali ya Uzbekistan kwa Palestina, Gaza na Al-Aqsa

Miezi minne imepita tangu Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa ya Mujahidina wana wa Palestina mnamo tarehe 7 Oktoba 2023 dhidi ya umbile la Kiyahudi linalokalia kwa mabavu. Inafahamika kwamba Mayahudi waliolaaniwa hawakuikalia kwa mabavu ardhi iliyobarikiwa ya Palestina na Msikiti wa Al-Aqsa tu, bali tangu wakati huo wamekuwa wakitekeleza sera ya kikatili ya mauaji ya halaiki dhidi ya Waislamu wa huko.

Soma zaidi...

Je, Uzuiaji wa Nyuklia ya Pakistan ndio Mstari Mwekundu Unaofuata, Kuvukwa?

"Pakistan na IAEA zitaongeza ushirikiano katika matumizi ya amani ya sayansi na teknolojia ya nyuklia, hasa katika kilimo na matibabu, kwa manufaa ya nchi na majirani zake. Hayo yalikuwa matokeo ya safari ya siku mbili ya Mkurugenzi Mkuu Rafael Mariano Grossi nchini Pakistan wiki hii, ambapo alikutana na uongozi wa nchi hii - ikiwa ni pamoja na Mawaziri Wakuu na Mawaziri wa Mambo ya Nje - na kutembelea vituo vingi vya nyuklia nchini kote, ambapo baadhi yake alivizindua.”

Soma zaidi...

China Haijatia Madoa Mikono yake kwa Damu ya Waislamu huko Palestina, Lakini Imejaa Madoa na Damu ya Waislamu wa Uighur

Gazeti la Al-Thawra, lililotolewa jijini Sanaa mnamo Jumanne, Januari 29, 2024, lilikuwa na kichwa cha habari kutoka kwenye jukwaa "China huko Arabia: Meli za China zakwepa haki ya Yemen kwa sababu China haikutia madoa mikono yake kwa damu ya Wapalestina na haikushiriki katika uharibifu uliotokea kwa Yemen."

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu