Jarida la Al-Waie: Vichwa Vikuu vya Habari vya Toleo 447
- Imepeperushwa katika Jarida la Al-Waie
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Ni karibu mwezi mmoja sasa tangu uvamizi mkubwa wa wanyakuzi wa Kiyahudi huko Gaza, pamoja na Ukingo wa Magharibi, na Lebanon. Wamewauwa watu, wazee, wanawake na watoto, na wameharibu miti na mawe katika vitendo vilivyo zidi uhalifu wote na zaidi ya aina yoyote ya uvamizi! Ilhali watawala bado wamekaa kimya, na wanapozungumza, ni kuhesabu idadi ya waliokufa shahidi, kujeruhiwa, na maeneo yaliyoharibiwa.
Mbele ya mauaji ya kikatili yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu waliotengwa katika Ukanda wa Gaza, ambayo ilisababisha kuuawa kishahidi na kujeruhiwa kwa Waislamu wanaume na wanawake zaidi ya elfu 22 hadi sasa
Al-Waqiyah TV:
Maswali kadhaa na Jibu Moja!
Al-Waqiyah TV:
Ujumbe wa Haraka: “Enyi Majeshi… Vimalizeni Vita!”
Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa:
Viangusheni Viti vya Utawala na Muhamasishe Majeshi!
Kisimamo cha Los Angeles Kilichoyaomba Nusra Majeshi ya Waislamu Kuikomboa Al-Aqsa!
Kufuatia mauaji ya halaiki yanayoendelea kufanywa na serikali ya kinyama ya kizayuni dhidi ya watu wa Ghaza, Hizb ut Tahrir Kenya iliweza kufanya maandamano baridi mnamo siku ya Ijumaa Oktoba 20,2023 katika miji ya Nairobi na Mombasa sambamba na miji mengine ya pwani.
Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili yaliyofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza, ambayo yalisababisha kuuawa shahidi na kujeruhiwa kwa wanaume na wanawake wa Kiislamu zaidi ya 30,000.