Al-Waqiyah TV: Miangaza "Hila za Amerika nchini Syria!"
- Imepeperushwa katika Al-Waqiyah TV
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Maoni ya Kisiasa ya Kila Wiki
Maoni ya Kisiasa ya Kila Wiki
Kwa zaidi ya miaka sabini, Wapalestina nchini Lebanon wanateseka kutokana na minyororo ya hali ngumu, na udhalilishaji katika matibabu na kushughulikiwa kwao!
Alhamisi, 2 Julai 2020, Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia ilifanya mkutano wa waandishi habari kwa anwani "Mradi huu Unaweza Kuitoa Tunisia kutokana na Mfumo wa Majanga" katika makao yake makuu yaliyoko katika makutano ya Sakra-Ariana katika mji mkuu.
Hizb ut Tahrir / Wilaya Syria iliandaa kisimamo katika mji wa Ariha, viungani mwa Idlib, kulaani mapigano ya kimakundi katika maandalizi ya suluhisho la kisiasa.
Vichwa Vikuu vya Toleo 293
Kusimamisha nidhamu za Kiislamu ndiyo njia pekee ya ukombozi kwa watu wote, hususan Waamerika wenye asili ya Kiafrika, kwa kuonesha kwamba uraia wa daraja la pili ni wa kudumu.
Ugonjwa huu hakika umeathiri Ulaya kama ulivyo athiri wengine, kutatanisha nchi zake kwa sababu ya uharaka wa kusambaa kwake na kukosa kwao uwezo wa kuukabili, wa kihisi unyonge mbele ya virusi hivyo.
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo katika mji wa Atma, viungani mwa Idlib, kwa anwani, "Tunavyo Viungo vya Ushindi!"
Ujumbe wa Chama ukiongozwa na Msemaji wake Ustaadh Abdul Hakim Othman uliwasili sehemu ya kwanza, yaani afisi ya Waziri katika Idara ya Waziri Mkuu (Masuala ya Kidini), lilikuwa jambo la kuudhi na kukera pale ambapo afisi ilipo kata miadi ya HTM.
Abu Adnan - tunamchukulia yeye na Mwenyezi Mungu ni mjuzi zaidi - kwamba alikuwa mmoja wa wafanyikazi imara katika safu za Hizb ut Tahrir kusimamisha Khilafah Rashida kwa njia ya Utume.