Maandamano: Ushindi ni kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu katika moyo wa Vienna
- Imepeperushwa katika Austria
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Maandamano: Ushindi ni kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu katika moyo wa Vienna
Maandamano: Ushindi ni kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu katika moyo wa Vienna
Uvamizi haramu na wa kinyama wa Kashmir kwa mara nyignine umeletwa mbele za dunia, baada ya tangazo la kubatilisha cheo maalum cha Kashmir iliyovamiwa na kufutwa kwa Kipengee 370 cha Katiba ya India na serikali ya India.
Wanaharakati kutoka Hizb ut Tahrir/ Afghanistan waliongozo maandamano ya wanafunzi mnamo Shawwal 1433 H - Septemba 16, 2012 M katika vyuo vikuu vyote ndani ya Kabul. Maandamano haya yalifanyika ili kupinga filamu iliyoandaliwa na Muamerika inayopinga Uislamu kwa kumkejeli Mtume Muhammad (saw) na uwepo wa Amerika ndani ya Afghanistan.
Jumanne, 2 Aprili 2019, Hizb ut Tahrir Kenya ilituma ujumbe wake kwa Ubalozi wa Uchina nchini Kenya. Ujumbe huo uliongozwa na Mkuu wa Kamati ya Mawasiliano wa Hizb ut Tahrir /Kenya Arkanuddinn Yassin, akifuatana na Shabani Mwalimu -Mwakilishi kwa Vyombo vya Habari wa Hizb ut Tahrir /Kenya. Waliwasili katika ubalozi mjini Nairobi saa 8:56 a.m EAT.
Viongozi wahalifu wa Uchina wamepata nguvu kutokana na majibu dhaifu ya watawala wa Waislamu; ambao wamechagua mikataba ya kifedha kuliko kuwanusuru Waislamu wa Turkestan Mashariki kwa
Jumapili, 31 Machi 2019, Hizb ut Tahrir / Kenya kwa ridhaa za Mwenyezi Mungu (swt) ili kamilisha kampeni yake kwa mwito "Kuzidi kwa Gharama za Maisha: Uislamu Ndio Tiba" ambayo ili zinduliwa rasmi Jumapili, 13 Januari 2019.
Ikiwa ni ukumbusho wa 98 H (95 M) wa kuanguka kwa Khilafah, Hizb ut Tahrir /Kenya ilifanya maandamano baridi baada ya swalatul Dhuhur siku ya Jumatano, 3 Aprili 2019 ikiwa ni sawa na 27 Rajab 1440 H katika miji mikuu miwili ya Kenya katika Nairobi na Mombasa.
Kenya: Msururu wa Amali za Kukumbuka Miaka 98 Tangu Kuangushwa kwa Khilafah
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwaletea wafuasi wake na wanaozuru tovuti za Afisi Kuu ya Habari DVD mpya kwa kichwa:
Inatoa mwito kwa majeshi ya Waislamu ili kuikomboa Kashmir na ardhi nyingine zilizovamiwa na Waislamu.