Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan Hizb ut Tahrir Imekoleza Kampeni zake za Kujenga Ufahamu na Kuunganisha Ummah
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kwa kuzingatia muongozo wa chama kushiriki katika maslahi ya Ummah, Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan, eneo la Omdurman Magharibi, ilifanya warsha kubwa ya kisiasa mnamo 14, Disemba 2019 kwa anwani: “Matatizo ya Kijiji cha Al-Ikhlas yapo baina ya Dola ya Ustawi na Dola ya Ukusanyaji”, ambayo ilipokelewa kwa maingiliano na uchangamfu mkubwa.



