Tangazo la Majibu ya Kuonekana kwa Mwezi Mpya wa Baraka wa Ramadhani ya Mwaka 1440 Hijria
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Baada ya kufanya uchunguzi juu ya mwezi mpya wa Ramadhani baada ya kuchwa kwa jua siku ya Jumapili, kuamkia Jumatatu, tunadhibitisha kuonekana kwa mwezi mpya kwa mujibu wa vigezo vya Shari'ah. Hivyo basi, kesho, Jumatatu ni siku ya kwanza ya mwezi wa baraka wa Ramadhani…



