Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
| H. 12 Jumada II 1447 | Na: HTS 1447 / 62 |
| M. Jumatano, 03 Disemba 2025 |
Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Mwaliko wa Kuhudhuria na Kushiriki katika Kikao cha Masuala ya Ummah
(Imetafsiriwa)
Sisi katika Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan tuna furaha kuwaalika wanahabari, wanasiasa, na wale walio na hamu na masuala ya umma kuhudhuria na kushiriki katika Kikao cha Masuala ya Umma cha kila mwezi, ambacho mwezi huu kitakuwa kwa kichwa:
Amerika Yatafuta Kurudia Taswira ya Libya kwa Kutenganisha Darfur
Wazungumzaji katika kikao:
1- Ustadh Nasser Ridha – Mkuu wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Sudan
2- Ustadh Ibrahim Othman (Abu Khalil) – Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Sudan
3- Afisa wa Kikao: Ustadh Al-Hadi Muhammad – Mwanachama wa Hizb ut Tahrir
Tarehe: 15 Jumada al-Akhirah 1447 H sawia na 06 Disemba 2025 M
Wakati: 1 pm
Mahali: Afisi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan mjini Port Sudan, Wilaya ya Al-Azma, Mashariki mwa Uga
Uwepo wenu ni heshima kwetu, ambapo inaonyesha kujali kwenu masuala ya Umma wenu.
Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb Ut Tahrir
katika Wilayah Sudan
| Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari Wilayah Sudan |
Address & Website Tel: 0912240143- 0912377707 http://www.hizb-sudan.org/ |
E-Mail: Spokman_sd@dbzmail.com |



